Dj Wille Zedon
TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI
Welcome
Homepage
This is
About Us
Support
Contact Us
Goggle +
Contact on Facebook
Contact on Twitter
Sport
Be healthy
Culture
Human Act
Entertainment
Enjoy your life
Music
Movie
Television
Tube Template
Another blogger tube
Help Instruction
How to use this template
skip to main
|
skip to sidebar
Home
» »
Posted by Dj wille zedon
Posted on 04:40 with
No comments
Mastaa Saba Bongo Wanaoetembelea Magari ya Kifahari
Mastaa Saba Bongo WanaoAsilimia Kubwa ya mastaa Wa bongo wamekuwa wakionekana wakijivinjari katika mitaa mbali mbali wakiwa katika magari ya kifahari. Lakini ukichunguza utagundua kuwa wengi Wa wasanii hao siyo wamiliki halali Wa magari hayo. Baadhi ya mastaa wanaosukuma ndinga za bei Kali apa bongo ni.
1: DIAMOND PLATNUM
Mwanamuziki anayedaiwa kuongoza kwa kuwa na gari la bei mbaya zaidi nchini ni Diamond Platnums ambaye kwa sasa anamiliki BMW X6 ambalo linauzwa kwa thamani ya dola 62,850 za marekani karibu shillingi million 150 za kibongo.
2: LADY JAYDEE
Anayefuata ni mwanadada lady jaydee anayemiliki magari mawili ya kifahari ikiwemo Nissan Murrano alilonunua kwa thamani ya shilingi mil 60 miaka kadhaa iliyopita na Range rover E lenye thamani ya dola za kimarekani 60,000 sawa ni shilingi mil 100 .
3: AY
Nafasi ya tatu imeshikwa na rapa mkongwe Ambwene yesaya anayemiliki Vogue sports lenye thamani ya sh92 miliion.
4: MASANJA MKANDAMIZAJI
Huyu anamiliki gari aina ya Land cruiser lenye thamani ya shillingi mil. 75
5: MRISHO MPOTO
Namba tano inamilikiwa na mtaalamu Wa mashairi nchini, mrisho mpoto anayemiliki Toyota Prado new model yenye thamani ya shilling mil 65.
6: JACKLINE WOLPER
Kwa upande wake muigizaji jackline wolper anamiliki land cruiser Prado lenye thamani ya shillingi mil 65.
7: WEMA SEPETU
Nafasi ya saba inashikiliwa na mwigizaji wema sepetu anayemiliki BMW 545 yenye thamani ya shilingi million 56, pamoja Na Nissan murrano alilopewa Na aliyekuwa mchumba wake diamond lenye thamani ya shillingi mil 36
etembelea Magari ya Kifahari
Share this video
:
0 comments:
Post a Comment
« Prev Video
Next Video »
Home
Popular NEWZ
New AUDIO | Back Shine Ft. Ommy Sam - Love Love | Download/Listen
ANGALIA
ANGALIA PICHA 7 ZA WANAWAKE WENYE BIG ASS WALIOPO ULAYA
(no title)
USIACHE KUSOMA HABARI MPYAAAAAAAAAA USIKU HUU KARIBU SANA 1.MASOGANGE AJA NA MPYAAAAA KUHUSU MAKALIO YAKE, AYAPA SIFA KEDEKEDE SOMA HA NIK...
Tembellea Dj Willezedon Kwa Kupata Habali mpya....Videos......Audios.....spots....... Powered by
Blogger
.
.Featured Posts
Home
Portfolio
Gallery
Archive
Dec 2012
Jan 2013
May 2014
Feb 2015
Blog
About
Contact
Dj Wille Zedon
Business
Technology
Live Traffic Stats
?max-results="+numposts2+"&orderby=published&alt=json-in-script&callback=recentarticles2\"><\/script>");
Popular Posts
New AUDIO | Back Shine Ft. Ommy Sam - Love Love | Download/Listen
ANGALIA
ANGALIA PICHA 7 ZA WANAWAKE WENYE BIG ASS WALIOPO ULAYA
(no title)
USIACHE KUSOMA HABARI MPYAAAAAAAAAA USIKU HUU KARIBU SANA 1.MASOGANGE AJA NA MPYAAAAA KUHUSU MAKALIO YAKE, AYAPA SIFA KEDEKEDE SOMA HA NIK...
Social Icons
Support :
Creating Website
|
WILLE Template
|
GOOGLE
Copyright © 2013.
Dj Wille Zedon
- All Rights Reserved
Template Created by
Creating Website
Published by
Mas Template
Proudly powered by
Blogger
0 comments:
Post a Comment