Msanii kutoka katika kundi maarufu la Micharazo Mr.Blue aka Byser amesema kuwa ameachana na madawa ya kulevya.

Mr Blue amehojiwa na kituo kimoja cha Radio na kusema " Nilikuwa natumia madawa ya kulevya hasa bangi lakini kwa sasa nimeacha kabisa, nilikuwa navuta misokoto mpaka mitano kwa siku lakini ni mwezi sasa sijavuta hata kidogo , Nimekuwa baba sasa na sio vizuri kuwa baba mvuta bangi, nimeacha kabisa sasa nimebaki naangalia familia yangu "

0 comments:
Post a Comment