TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI
Home » » Rapa aliyechaguliwa kurekodi soundtrack ya Terminator Genisys.

Rapa aliyechaguliwa kurekodi soundtrack ya Terminator Genisys.

big-sean
Rapa Big Sean ndiye msanii aliyepewa heshima ya kutengeneza wimbo maalum utakao tumika kwenye filamu mpya ya Terminator Genisys. Big Sean atafanya wimbo huu na msanii kutoka China Jane Zhang na tayari Sean amerekodi wimbo mmoja kwajili ya filamu hii uliopewa jina “Fighting Shadows” unaotoka June 30.
Filamu hii ya Arnold Schwarzenegger Terminator Genisys inatoka kwenye majumba ya filamu July 1.
ttt
Share this video :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Creating Website | WILLE Template | GOOGLE
Copyright © 2013. Dj Wille Zedon - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger