
Xzibit
Rapa Xzibit amekiri kosa la kuendesha gari akiwa amelewa na kupewa adhabu ya kuwa chini ya uangalizi wa polisi kwa miaka mitatu na kuhudhuria programu ya wanywaji pombe kupita kiasi.
Xzibit alifanya kosa hilo siku ya harusi ‘November 2014’baada ya kufunga ndoa na mke wake Krista Joiner aliingia barabarani na gari yake akiwa amelewa kupita kiasi.
0 comments:
Post a Comment