
- Floyd Mayweather Jr.
Jay Z Na mke wake Beyonce wameshindwa kukamata nafasi za juu kwenye orodha ya watu maarufu waliolipwa zaidai mwaka 2015. Jarida la Forbes limetoa watu maarufu 100 waliolipwa zaida mwaka huu. Beyonce ameshika namba #29 akiwa na pesa dola milioni $54.5 .
Hii ndio orodha ya kumi bora.
0 comments:
Post a Comment