
So So Def imerudi kwa kusnidno mwaka huu. Jermaine Dupri na Bow Wow wamekutana tena kwenye video mpya ya “WYA (Where You At?).” Huu ni wimbo wa Jermaine Dupri Ft Bow Wow.Wimbo upo kwenye album mpya ya J.D. The Dark Recesses of My Imagination, ambayo pia wameshirikishwa T.I., Nas, na Usher.
0 comments:
Post a Comment