AIBU YA PASAKA..FUMANIZI..MZEE KIJANA ACHEZEA KICHAPO KWA KOSA LA KULAWITI MADENTI LIVE...!CHECK HAPA
KIFO njenje! Baba aliyetajwa kwa jina moja la Nuhu
maarufu kama ‘Mzee Kijana’ (54), nusu auawe na raia wenye hasira kali,
msimu wa Pasaka kisa kikiwa ni kuachiwa kwa dhamana isiyoeleweka baada
ya kunaswa kwa kosa la ulawiti wa madenti.
Baba
aliyetajwa kwa jina moja la Nuhu maarufu kama ‘Mzee Kijana’ (54)
anusurika kifo baada ya fumanizi Aprili 19 (Ijumaa Kuu), mwaka huu
maeneo ya Tuangoma Mjimwema, Kigamboni jijini Dar.
Tukio hilo la kutisha lilijiri Aprili 19 (Ijumaa Kuu), mwaka huu
maeneo ya Tuangoma-Mjimwema, Kigamboni jijini Dar, mbele ya ofisi ya
serikali ya mtaa huo ambapo awali, Aprili 9, mwaka huu ilidaiwa kuwa
mzee huyo alidakwa na mmoja wa wazazi wa wanafunzi hao akiwa amemfungia
kwa kufuli mwanaye ndani ya chumba chake huku mwenyewe akiwa katika
shughuli zake za kuuza kuni.Ilisemekana kwamba akiwa na mjumbe wa kitongoji hicho, mzazi huyo aliyepata fununu kuwa mwanaye wa kiume analawitiwa na mzee huyo, alifanya jitihada za kumsaka mzee huyo hadi kibaruani kwake ambapo alipohojiwa kama amemfungia mwanafunzi wake ndani ya chumba chake, mzee huyo alijiumauma na mwishoni kukubali.
Ilidaiwa kwamba wananchi na mzazi wa mwanafunzi huyo walimbeba mzee huyo msobemsobe hadi nyumbani kwake na kumtaka amfungue denti huyo ambapo alifanya kama alivyoagizwa kisha mwanafunzi huyo alichomolewa ndani ya chumba hicho.
Habari zilieleza kuwa sakata hilo lilitinga katika ofisi ya mtendaji ambapo walitoa taarifa kwa askari wa Kituo cha Polisi cha Kizuiani. Hata hivyo, ilisemekana kwamba askari hao walishindwa kufika kwa kuwa siku hiyo daraja la Kongowe lilikuwa limeharibika.
Ilisemekana kuwa baadaye walipata msaada kutoka kwa polisi wa Kituo cha Kibada, Kigamboni ambao walimchukua mtuhumiwa na baadaye kupelekwa Kizuiani kwa ajili ya taratibu za kisheria huku mwanafunzi huyo akipewa PF-3 kwa ajili ya uchunguzi kama kweli alikuwa akiingiliwa kinyume na maumbile.
Ilidaiwa kuwa kabla hata majibu ya daktari hayajachukuliwa, Mzee Kijana alionekana akirandaranda mitaani, jambo lililosababisha viongozi wa mtaa huo kuwasiliana na polisi kuhoji kulikoni?
Ilielezwa kuwa wakati wakuu hao wakihangaika na suala hilo ndipo wananchi wenye hasira kutoka kila upande waliivamia ofisi hiyo wakidai kuwa wamechoshwa na
0 comments:
Post a Comment