'Mtunisy' Director/ Actor At Zest film Productions Tanzania
Tom Boy yaleta changamoto kwa
Muonekano wa Kava la Tom Boy ndio huo hapo juu pichani
Filamu
hii inayotarajiwa kutoka 1/05/2014 imekuwa tishio kwa baadhi ya
wamachinga kudai kwamba wateja wanawauliza kila wakati kuhusu kutoka kwa
Tom Boy,
Hana cha kufanya zaidi ya kumshukuru mwenyezi mungu kwa kuitunukia kazi yake bahati ya kupendwa kiasi hicho, Akiongea na Masai Nyotambofu Mtunisy
alisema ana furaha kubwa na kamwe hatowaangusha mashabiki wake katika
kazi zake atajitahidi kadri ya uwezo wake kuwachezesha wasanii wenye
uwezo mkubwa na vipaji damuni ili kuweza kukidhi haja ya wadau.
Kama
ilivyokuwa kwenye Mrembo Kikojozi mpaka sasa kwenye Tom Boy dalili za
mapokezi mazuri anaziona, Kwani nyota njema huonekana alfajiri.
0 comments:
Post a Comment