KWA MARA YA KWANZA HII NDIO FILAMU MPYA YA KOMEDI KUTOKA KWA JOTI
Msanii wa vichekesho kutoka kundi la Orijino Komedi Joti anatarajiwa
kutoa filamu yake ya kwanza"SANDUKU LA BABU" itakayo angaliwa na rika
zote "Kwa
mara ya kwanza Tanzania,Joti ametoka na Comedy inayoitwa Sanduku la
Babu itakayo tazamwa na rika zote Kaka,Dada,Watoto,Wazee.... kaa tayari"
aliandika joti kwanye Instagram
0 comments:
Post a Comment