Maandamano ya kupinga “World Cup 2014″ ndani ‘Sao Paulo’ na Rio De Jeneiro.
Ni chini ya mwezi unebaki tokea ’2014 World Cup’ kuanza kwenye “12 Cities” nchini ‘Brazil’ ambapo waandamani wamekuwa na hasira sana kwa kiasi cha mabilion ya fedha kilichotumika kwa ajili ya mashindano hayo wakati maisha ya wananchi kama Nyumba, Hospitals na project zingine za kijamii katika nchi ya Brazil bado katika hali ngumu kimaisha. Wameripoti BBC.
Waandamanaji hao wenye hasira zaidi wapo kwenye miji ya SAO Paolo na Rio De Jeneiro, ambapo wanarusha mawe kwa Police na kuchoma matairi barabarani kuzuia barabara kutumika huku police wakiwatupia mabomu ya machozi na kuwasambaratisha. Waandamanaji hao wameahidi kuwa maandamano hayo yatazidi kuongezeka zaidi mshindano hayo yanavozidi kukaribia.
0 comments:
Post a Comment