Rapa Lil Wayne amefunguka kuwa uongozi wa Birdman na kampuni yake ni mbovu na sasa wasanii wakubwa wawili wanataka kujitoa kwenye lebel hio.
Wasanii hao ni Nicki Minaj na Drake wanaokaribia kujitoa Young Money sababu ya ubadhilifu wa pesa unaofanywa na Birdmen.
0 comments:
Post a Comment