Exclusive,Rapa wa Kenya athibitisha collabo na Kid Ink wa Marekani.
ENTERTAINMENT
Exclusive,Rapa wa Kenya athibitisha collabo na Kid Ink wa Marekani.
By
|
Rapa Octopizzo amethibitisha kuwa anafanya wimbo na rapa wa Marekani Kid Ink, na kwamba tayari rapa huyo ameshatuma vesi yake itakayowekwa kwenye wimbo huo.
Octopizzo anasema “Kid Ink ameshatuma Verse yake na ni wimbo utakaokuwa kwenye album yangu mpya, Album inatoka Tarehe 8 Mwezi wa Nane jijini Nairobi na Mkenya mmoja tu ndiye aliyeshirikishwa kwenye cd hii ”
Octopizzo anaendelea kusema “Album inanyimbo 12, Mkenya aliyeshirikishwa anaitwa Iddi Achieng “.
0 comments:
Post a Comment