TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI
Home » » Karrueche Tran Asema mahusiano yake na Chris Brown yaliandamwa na vitimbi.

Karrueche Tran Asema mahusiano yake na Chris Brown yaliandamwa na vitimbi.

Moja ya Couple zilizotikisa Dunia ni hii ya Karuche na Chris brown, lakini bado wawili hawa licha ya kuachana lakini bado wanashika Headlines kutokana na Vituko vyao kwenye Social Media.

Katika mahojiono aliofanya hapo juzi Karruechw alisema kuwa anaamini mahusiano yale na Breezy hayakuwa ya kweli kwa sababu alianza mahusiano nae kipindi bado Chris Brown Yuko na Rihanna, Wawili hawa wemekuwa wakitengeneze Headlines kwenye magazeti ya Marekani kutokana na vituko vyao wanavyovifanya kwenye Social  Media, Hapo majuzi Mtandao wa TMZ uliandika kuhusu Vurugu ambayo Chris Brown alimfanyia karrueche.
                  
                       Hii ni post ya Karrueche INSTAGRAM..

Share this video :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Creating Website | WILLE Template | GOOGLE
Copyright © 2013. Dj Wille Zedon - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger