TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI
Home » » Kcee wa Nigeria amshirikisha Diamond Platnumz kwenye wimbo mpya ‘Love Boat’.

Kcee wa Nigeria amshirikisha Diamond Platnumz kwenye wimbo mpya ‘Love Boat’.

ddd
Dj willezedon blog inakupa taarifa kuwa kaa tayari kusikiliza kazi nyingine mpya ya kutoka Nigeria itakayomuhusisha msanii kutoka Tanzania Diamond Platnumz. Ni msanii Kcee amethibitisha kuwa amefanya wimbo na Diamond Platnumz na umepewa jina Love Boat. 16 June 2015 Saa Saba mchana ya Afrika mashariki wimbo utatoka na video ni baada ya wiki mbili .
d
           
                            d1

 d2


Share this video :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Creating Website | WILLE Template | GOOGLE
Copyright © 2013. Dj Wille Zedon - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger