Rapa kutoka Uganda ‘Navio’ amethibitisha kuwa wimbo aliofanya na Mr Blue kutoka Tanzania unatoka hivi karibuni. Wimbo huu umepewa jina Ayaya. Navio tayari amefanya kazi na wasanii kutoka Tanzania kama Weusi na Izzo Bizness. Video imefanywa na kampuni ya Navio ya Navcorp Film
Mr Blue ametufahamisha ” Ule mwiba mliokuwa mkiusubiri upo njiani kabisa…kijana wenu kafanya kitu na huyu kijana wa uganda…@naviomusic …tayari mda si mwingi mtaipata…#acheni uwoga wa kupitwa## ”
Navio naye amesema ” The Audio for #Ayaya drops in a few days. Nav X@mrbluebyser1988. Produced by @banostylez. The turn up just got real!!! #AYAYA
0 comments:
Post a Comment