Staa wa muziki kutoka Nigeria David Adeleke aka Davido amemuweka wazi msanii mwingine wa kimataifa anayetaka kufanya naye collabo.
Kupitia mtandao wa twitter Davido aliulizwa na shabiki wake kuhusu msanii mwingine wa kimataifa anayetaka kufanya naye kazi na Davido alimjibu ‘DAVIDO’.
0 comments:
Post a Comment