Rapa Jua kali amekanusha kuwa anampango wa kuanza kufanya muziki wa Injili. Staa huyu wa Calif Records aliyekaa kimya kwa musa bila kutoa wimbo amezushiwa kuwa ameanza kuandika na kurekodi kazi za injili kwenye studio tofauti Kenya.
Kupitia kurasa yake ya Facebook Jua Kali amekanusha taarifa hizi kwa kuandika “Hii stori ati nataka kufanya Gospel ni Uongo, dont believe everything you read, Ngeli bado ni ya Genge “
0 comments:
Post a Comment