Staa wa Rnb aliyewahi kufanya kazi na Destiny Child ‘Kelly Rowland‘ ameleta kipaji chake kwenye tamthilia ya “Empire.”
Kwa mujibu wa ENews Kelly Rowland atacheza kama mama yake Lucious Lyon (Terrence Howard) kwenye scene za zamani.
Mwezi uliopita Kelly alikuwa na waandishi wa “Empire” n a wasanii wengine waliopewa nafasi ya kuigiza kwenye tamthilia hii ni pamoja na Chris Rock, Lenny Kravitz, Alicia Keys, na Marisa Tomei. Msamu wa pili unaanza September 23.
0 comments:
Post a Comment