
Video ya Rapa Sarkodie kutoka Ghana aliyofanya na Ace Hood kutoka Marekani imekamilika. Video inaitwa ‘New Guy’na imetayarishwa na Justin Campos wa South Afrika.
Video imepokelewa vizuri Africa huku wengi wakiamini Sarkodie amefanya vizuri zaidi kuliko Ace Hood.
0 comments:
Post a Comment