TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI
Home » » M.I awataja wawili anaowakubali kutoka Marvins ya Don Jazzy.

M.I awataja wawili anaowakubali kutoka Marvins ya Don Jazzy.

mi
Rapa na C E O wa record lebel kubwa Nigeria Chocolate City M.I Aka Jude Abaga ameweka wazi kuwa anawakubali sana wasanii wawili wa lebel ya Don Jazyy ‘Mavin’ambao ni Korede Bello na Di’Ja .Kupitia kurasa yake ya mtandao wa instagram M.I Aliandika .
Guess who I just bumped into @koredebello and @aphrodija … People only see the overnight part of the story but don’t know how long both these two have carried their dream and desire for music and actively pursued it.. Didn’t have enough time to tell them how proud I am and how happy I am for them..”
Share this video :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Creating Website | WILLE Template | GOOGLE
Copyright © 2013. Dj Wille Zedon - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger