Meneja wa Rapa Lil Wayne amekanusha taarifa za msanii wake ‘Lil Wayne’ameingia mkataba na lebel ya Jay Z’Roc Nation’.
Cortez Bryant amesema Lil Wayne alivyosema anafanya kazi kwa ukaribu na Jay Z alimaanisha ameingia mkataba wa kutoa album yake kupitia mtandao wa Jay Z ‘TIDAL ‘ na sio mkataba wa kuwa msanii wa Roc Nation.

Bado maelewano sio mazuri kati ya Birdman naWayne.
0 comments:
Post a Comment