
Beyonce Knowles
Habari ya msanii wa pop Beyonce kuwa na ujauzito ilivyotangaza iliweka rekodi kwenye mtandao wa twitter na kuingia kwenye kitabu cha rekodi cha Guinness.
Rekodi ilikuwa ni ya Twit nyingine zilizoenda hewani kwa sekunde moja kwenye weekend’. Beyonce alitangaza habari hizo akiwa kwenye show ya mtv jumapili na twit 8,868 zilienda hewani kwa sekunde moja.
Rekodi zingine za awali zilikuwa kama hivi
• Twit 7,196 kwe sekunde kwenye mechi ya wanawake ya kombe la dunia mwezi wa saba, ilikuwa Japan vs United States.
• Twit 7,166 kwa sekunde Brazil ilivyofungwa na Paraguay kwenye Copa America.
• Twit 5,530 kwa sekunde baada ya tetemeko la ardhi lililokumba Japan March 11.
• Twit 5,000 kwa sekunde baada ya kifo cha Osama Bin Laden
Pia bonyeza hapa ku Subscribe FahamuTv kuona interview Zingine. Asante Kwa Ushirikiano,Bonyeza hapa kumfahamu Zaidi www.facebook.com//william.dickosta
0 comments:
Post a Comment