Collabo za kimataifa zimekuwa zikiwatangaza wasanii mbali zaidi, pia zinafanya msanii aweze kujulikana mbali zaidi.


Mwana
Fa ni moja ya wasanii wenye msimamo tofauti kuhusiana na kufanya
Collabo za Kimataifa, akizungumza katika Kipindi cha Bongo Fleva cha
Clouds Fm Mwana fa amesema:
"Mi
nafanya Concious nataka kila mtu anaenisikiliza aelewe ninachosema, na
lugha ninayoitumia inafanya watu wanaosilikiliza muziki wangu ukawashika
moja kwa moja ni wanaotumia lugha ya Kiswahili watu wa round hii, sioni
sababu ya kujihangaisha , kama nitatoka kufanya Featuring nje basi
nataka nitoke kama msanii aliyehitajika kutoka bongo sio kwa sababu mi
nataka kufanya tu, mi sioni kama ina faida yoyote kwenye
0 comments:
Post a Comment