
Baada ya kuka jela kwa muda wa wiki moja rapa Rick Ross amepata dhamana na moja kwa moja ameamua kuingia kazini.
Boss wa MMG ametangaza rasmi kuanza kazi ya kurekodi album yake ya Nane iliyopewa jina Black Dollar kwa mujibu wa mwana sheria wake Adamma McKinnon.
Album hii itakuwa muendelezo wa album zake za mwaka jana Mastermind na Hood Billionaire.
0 comments:
Post a Comment