
Rapa Kendrick Lamar ametumia nafasi yake kama balozi wa Reebok kutoa viatu vya Reebok Ventilator venye rangi ya makundi mawili yanayopigana vita Marekani ya Bloods na Crips mjini Los Angeles.
Viatu vina rangi ya Nyekundu na kingine ni Blue rangi zinazotumiwa na makundi hayo mawili. Hii ni sehemu ya kumaliza ugomvi na maasi yanayofanywa na vijana wa Marekani.
Raba hizi zinatoka July 18 na zitauzwa dola 142 ambayo ni kama laki tatu na nusu za bongo.



0 comments:
Post a Comment