Huyu
ni mmoja kati ya wasanii wanaowakilisha familia ya Bhits ambapo mwisho
wa wiki iliyopita inasemekana ametokwa na machozi kwa kile kinachodaiwa
kusitishiwa mkataba wake na Lebo yake ya Bhits tena akiwa Club,Soud
Brown ana-amplify taarifa hii.
87.8 Clouds Fm unasikiliza ukiwa Mbeya.
Bonyeza play kusikiliza.
87.8 Clouds Fm unasikiliza ukiwa Mbeya.
Bonyeza play kusikiliza.
0 comments:
Post a Comment