Collabo nyingine Kali aliyofanya Kanye West imefanyiwa video,Vic Mensa ‘U Mad’.
Msanii Vic Mensa amekamilisha video yake ya wimbo “U Mad” aliyofanya na Kanye West. Rapa huyu kutoka Chicago ambaye kwa sasa yuko chini ya Roc Nation ya Jay Z amefanya vizuri kwenye video hii ili kufungua milango kwa album yake kufanya vizuri mwaka huu, cd inaitwa Traffic.
Rafiki Na Shabiki Wangu, Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori Zote
0 comments:
Post a Comment