Mwimbaji na muigizaji wa kike kutoka Marekani Miley Cyrus amewapa Exclusive jarida la paper kwa kuruhusu waonyeshe picha zake alizopiga akiwa mtupu.
Kwenye mahojiano na mwandishi wa jarida hilo Miley amefunguka kuhusu kujihusisha na mapenzi ya jinsi moja, muziki na familia yake.
0 comments:
Post a Comment