Kiongozi wa G-Unit 50 Cent amemaliza tofauti zake na rapa French Montana baada ya kuonekana wakiongea na kucheka pamoja kwenye tamasha la hiphop la radio ya Hot 97 [Summer Jam] .
Dj wa G-Unit DJ Whoo Kid ameweka picha ya 50 Cent akiwa na French Montana kwenye tamasha hilo weekend iliyopita.
0 comments:
Post a Comment