29(umri)Lowrah Michael (Picha) iliyopo hapo chini akiwa na mchumba wake., Ajali mbaya ilitokea tarehe 20 mwezi huu March, ambapo walikuwa wakielekea Iringa wakitoka mkoani Kilimanjaro ambapo walishakamilisha Taratibu zote za Ndoa , na kama ratiba ilivyopanga Lowrah ilibidi afunge Ndoa Tarehe APRIL 22.
Lowrah alikuwa ni mkurugenzi katika kampuni fulani mkoani Kilimanjaro pia alihitimu masomo yake ya master ya Uhasibu katika chuo cha Uhasibu Mkoani humo, Chuo na kampuni ilijitolea kuandaa kila kitu ikiwemo swala la Muziki na Vinjwaji katika Harusi hiyo kutokana na Uchapakazi alikuwa nao pale kazini, huku Chuoni akiwa ameacha historia ya kuwa mwanafunzi Bora zaidi.
Sasa badala ya Furaha Mambo yamegeuka, taratibu za mazishi zimefanywa, Kesho Lowraha na mchubwa wake wanaenda kuingizwa kaburini....
Sasa mimi #admin , nakuombea wewe pamoja na familia yako mungu mwenye nguvu na rehema nyingi bila kujali dini yako ailinde siku ya furaha yako isigeiuka kuwa siku ya majonzi kwa familia yako.
Hatuna Sababu ya Kutomshukuru MUNGU kwa Mema Yake. Namshukuru kwa Maisha Yangu Nikiamini Nawe PIA Unamshukuru kwa Hilo.... AMEN
0 comments:
Post a Comment