(PHOTOS) CHEKI SHOW YA OMMY DIMPOZ ALIYOFANYA MUSCAT OMAN.
Hitmaker wa Tupogo, Ommy Dimpoz ameendelea kutoa dozi ya kupiga shoo
kali nchi za watu na safari hii ameshea baadhi ya picha na mashabiki
kwenye ukurasa wake wa Instagram za show aliyoifanya Muscat, Oman akiwa
na bendi yake iliyohudhuriwa na nyomi ya watu. Thumbs up Dimpoz.
Asante kwa kutembeleadj willezedon Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.
0 comments:
Post a Comment