CHEGE AKINUKISHA INSTAGRAM KWA ANAETAKA KUMTIBULIA PENZI LAKE KWA MADAM NYASHI.
Hehehe watu wamevurugwa vibaya sana huko Instagram kila kukicha movie
zinaanza mpya na zingine zinaendelea. Sasa leo hadi Chege kaamua
kufungua ujue huko hakuna usalama. Kusema ukweli Insta ina raha na
karaha zake omba tu yasikukute. Story ni hivi mchumba aka mke mtarajiwa
wa msanii Chege alipost picha yake kama kawaida watu wote tunavyo fanya
huko Instagram mara katika comment akatokea mtu na comment yake akidai
yeye nae ni mwanamke wa Chege basi baada ya hapo Chege akaona isiwe tabu
na kuamua kumtolea uvivu huyo MARIABYGIR asiyekuwa na picha wala
followers kwa kuweka huo ujumbe na ujumbe wake kwa chini. Haya
nakuanchia uendelee na movie kama ifuatavyo.....
Lol jamani watu ni wachokozi balaaa. Wacha movie iendeleee.
0 comments:
Post a Comment