Hizi Picha Za Photo Shoot Ya Ciara Kwenye Muonekano Wake Wakati Wa Ujauzito
Ciara Aka Cici mchumba wa Rapper Future amefanya photo shoot ya
Jarida la W kuhusu muonekano wake wakati wa ujauzito. W magazine
wamepata exclusive Interview na Cici ambaye anategmea kujifungua mtoto
wa kiume siku yoyote sasa.
Huyu atakuwa mtoto wa kwanza wa Cici mwenye miaka 28. Ciara anasema ”
Nikishajifungua salama nitarudi studio ili kumalizia album yangu mpya
na kuanza kuoanga harusi yangu na Future”
0 comments:
Post a Comment