Dah Kweli Sio Kila Mtu Anapata Mapenzi Atakayo,Ona Alichosema Trey Songz
Watu
wanaweza kusema kachanganyikiwa, Kwanini atake mapenzi kuliko
mafanikio? Tunayemzungumzia hapa ni star wa rnb duniani Trey Songz
mwenye mashabiki wa kila aina sababu ya muziki wake kuweza kugusa watu
wa aina tofauti.
Kwenye interview aliyofanyiwa hivi karibuni Trey Songz amesema
“Niko tayari kupumzika kufanya muziki kwa muda nikipata mpenzi
atakaye nipe mapenzi ya kweli na nikaridhika naye, niko tayari kumpa
muda wangu wote ili tuyajenge, sio rahisi kufanya kazi kama navyofanya
kazi mimi na kuwa na mapenzi ya kweli, nakutana na mabinti kibao ila
sikainao kwa muda mrefu”
Trey aliendelea kufunguka kuhusu aina ya mapenzi anayotoa kwa mpenzi wake kuwa
“Nina penda kwa nguvu sana na nikimpata binti naye weza kumpa maisha
yangu sitaka studio usiku kucha kama navyo fanya sasa, mapenzi hunizidi
nguvu mimi”
Alisema Trey wakati anazungumzia kazi yake mpya “Smart Phones”
0 comments:
Post a Comment