BASI UNAAMBIWA HUYU NDO DEMU WA KIBONGO KUTOKA MWANZA ALIYEFANYA VIDEO NA RICK ROSS, CHEKI PICHA ZAKE HAPA

CYNTHIA MASASI (TANZANIA)
wengine kibao. Baadhi ni Ride Remix-Trey Songz Ft
Rick Ross,Juelz Santana , Dont touch me – Busta Rymes na I know you see
it ya Young Joc.

CYTHIA MASASI NI NANI ...?
CYNTHIA MASASI ni mzaliwa wa mwanza aliyefunga ndoa na Bw.Richard Mziray wote ni watanzania wanaofanya kazi na kuishi nchini Marekani walifunga ndoa nchini Tanzania October 20 2012 katika Kanisa la Azania Front lililopo posta jijini Dar es salaam

HAPA WAKIELEKEAMAWINGUNI
swag
vitembeleo makalio vilivyotumika

ZULIANI!!

0 comments:
Post a Comment