UNAJUWA KUWA P-FUNK MAJANI ANAMTOTO MKUBWA KABISA WAKIKE TOFAUTI NA ALIYEZAA NA KAJALA..!! TAZAMA PICHA YA MTOTO WAKE HUYO ALIVYOKUWA MKUBWA
“How time fly’s, My baby girl has become a woman,” ameandika P-Funk Majani
aka ‘Dream Big’ kwenye picha ya mwanae mkubwa wa kike (jina lake
halijapatikana mara moja) aliyoiweka kwenye mtandao wa Instagram. Mhh! Nani
alitegemea kama producer huyo wa Bongo Records angekuwa na mtoto mkubwa
hivi?
Mtoto wa kike wa P-Funk Majani
P-Funk anmtoto wa kike mwingine aliye zaa na kajala anaitwa Paulette
Paulette(kulia) akiwa na Mdogo wake aliyebebwa kushoto ni Victoria Kimani akiwa na Meneja wake
0 comments:
Post a Comment