ULE MUENDELEZO WA MASTAA KUANIKA MIILI YAO WASHIKA KASI, LULU NAYE AMJIBU DIVA KWA KUANIKA KUFUA CHAKE MTANDAONI..!! TAZAMA PICHA HAPA
Jana kupitia mtandao wa
kijamii Diva wa Clouds fm aliachia picha iliyoonyesha kifua chake na
kuzua maneno kwa mashabiki na kubaki wakijiuliza kwanii huwa wanafanya
hivyo.
leo Lulu naye ameamua kujibu mapigo kwa kuachia picha inayofanana sana na ya Diva aliyopachia hapo jana.
Siku hizi imekuwa ni
fasheni sana kwa wasanii kujiachia maungo yao wazi na kusahau kuwa wao
ni kioo cha jamii. Mdau una maoni gani kuhusu hii swala??
0 comments:
Post a Comment