DIAMOND AVUNJA UKIMYA, KUMBE ANA MTOTO!!!! SOMA ALICHOKISEMA MWENYEWE HAPA.
Nani
aliyekuwa anafahamu kuwa Diamond Platnumz ni baba? Well, hatujawahi
kumsikia popote akisema kuwa ana mtoto lakini staa huyo wa ‘My Number
One’ alikuwa mkarimu wa kutosha kuweza kuelezea ‘furaha ya kuwa mzazi’ kwenye
mahojiano aliyofanya na mtandao maarufu wa Nigeria uitwao Lobatan
Africa baada ya kwenda huko wiki kadhaa zilizopita alikoshirikishwa pia
na mastaa wa huko wakiwemo Waje na Dr Sid.Kwenye mahojiano hayo,
mtandao huo ulimuuliza: What have you learnt about fatherhood, now that
you’re a father (umejifunza nini kuhusu ubaba kwakuwa sasa wewe ni baba)
Diamond alijibu: Fatherhood is a great experience, very humbling. You
learn a lot about your children and the kids and the kinds of things
they love. For example, my baby loves this cartoon that has a catchy
song, I think Ben10. Hahaha!! (Kuwa baba ni kitu kikubwa, kinavutia
sana. Unajifunza mengi kuhusu watoto wako na vitu wanavyopenda. Kwa
mfano ‘mwanangu’ anapenda katuni hii yenye wimbo unaogusa, nadhani Ben
10!
Kumbe Diamond ana mtoto tena mkubwa anayeweza kuangalia na kuelewa
katuni? Swali ni kwanini hajawahi kusikika akisema ana mtoto? Hata hivyo
September mwaka jana, moja ya magazeti ya udaku ya kampuni ya Global
Publisher, yaliandika habari ya kuibuka kwa msichana aitwaye Sasha Juma
aliyedai kuwa amezaa na Diamond.
![]() |
| Sasha akiwa na mtoto anayedai ni wa Diamond |
Msichana
huyo alidai kuwa likutana na Diamond Mlimani City jijini Dar es Salaam
na akampenda kwakuwa anafanana na Wema Sepetu (kipindi hicho walikuwa
wameachana. Gazeti hili lilisema wawili hao hawakuchukua muda na
wakaanza uhusiano uliowafanya wakutane kimwili na kupelekea msichana
huyo kushika ujauzito.
Lilidai asha alimpa taarifa staa huyo ambaye alimuomba asitoe mimba
kwakuwa atamsomesha msichana huyo aliyefukuzwa shuleni na pia kuahidi
kumlea mtoto huyo.



0 comments:
Post a Comment