Picha, Kijana Aliyekiri Kumpiga, Kumbaka Na Kumuua Mtoto Mdogo Afanyiwa Unyama Jela.
Kijana aliyejulikana kama Daryell Dickson Meneses Xavier aliyekiri
kumbaka na kumuua mtoto wa mchimba wake aliyekuwa na mwaka mmoja na
miezi nane tu amefanyiwa unyama jela na wafungwa wenye hasira.
Taarifa inasema “Daryell amebakwa na wafungwa 20 kwa wakati moja
alivyofika jela siku ya kwanza” Stori inaendela kusema kuwa baada ya
kijana huyu kupata matibabu na kushonwa kwenye sehemu yake ya nyuma
wafungwa hao walitoa nyuzi hizo na kumbaka tena kwa mara nyingine.
Comment nyingi kuhusu kitendo alichofanyiwa kijana huyu zilisema kuwa
amepata alichomfanyia mtoto wa mwenzake ila wengine walisema adhabu
yake imekuwa kali sana.
0 comments:
Post a Comment