Dj Khaled Kwenye Matatizo,Ni Kosa La Kutumia Pozi La Huyu Star Mwenzake.
Cover la kazi mpya ya DJ Khaled linasemekana kukopiwa kutoka kwa
rapper mwingine maarufu kama Kolley na tayari rapper huyu amedai fidia
ya matumizi ya style hio ya kung’ata cheni ya gold na kupiga picha.
Kolley ambaye ametoa mixtape yake inayoitwa “RNS” wiki 6 nyuma
alitumia pozi hilo kwenye cover la mixtape yake. Kopi la cover hilo
linaonekana kwenye cover la wimbo mpya wa Dj Khaled “They Don’t Love You
No More”
0 comments:
Post a Comment