Puff Daddy Anasema Atajiwe Bei Ya Clippers Ataichukua, Angalia Mabango Hapa #BiggerThanBasketball
Rapper/ Mfanya biashara ambaye kwa sasa yupo namba moja kwenye
orodha ya wasanii wa hiphop matajiri zaidi duniani Puff Daddy ametangaza
kupitia twitter kuwa ni shabiki mkubwa wa timu ya kikapu ya New York
Knicks ila pia ni mfanya biashara na atajiwe bei ya timu ya Clippers
Atainunua. Hii ni baada ya boss aliyetoa maneno ya kibaguzi kupewa
adhabu kubwa ya kutoisogelea timu wa NBA maishani inayoweza kusababisha
auze timu hio.
Kama ilikupita hii basi thamani ya Puff Daddy ni dola milioni 700 na ni karibu sana na kuwa The First Hiphop Bilionea. Jarida la burudani linalochunguza utajiri wa mastaa na thamani ya vitu wanavyo mmiliki linasema thamani ya L.A Clippers ni dola milioni 575 ambzo Pdd anaweza kujipanga akazitoa.

0 comments:
Post a Comment