cha, Hii Tattoo Nyingine Imeongezeka Kwenye Mwili Wa Msanii Jux
Msanii
wa Rnb mwenye wimbo unaofanya vizuri kwenye radio kwa sasa ‘Nitasubiri’
ameongeza asilimia ya wino wa tattoo kwenye mwili wake tena, Hii picha
ilionekana kwenye instagram yake ikiwa na haya maneno.
“PASSION new tatoo #music #passion #love # africanboy”
0 comments:
Post a Comment