Home »
»
Posted by Dj wille zedon
Posted on 06:19
with No comments
KAMA UNALALAMIKA KILA SEKUNDE KWAMBA WEWE UNAPITIA SHIDA NA MAJANGA KILA SIKU NA KUSAHAU KUMSHUKURU MUNGU...
huu ni ujumbe wako... Haipaswii tena ni Marufuku kukata tamaa.. Ona Mtu huyu aliyekubwa na ugonjwa, inawezekana kabisa anatamani awe kama wewe uliyejaliwa viungo kamili lakini bado hauishiwi kulalamika..
Kama umenielewa Comment "NAKUSHUKURU MUNGU" maana popote utakapomkiri Mungu hata kwenye kundi kubwa la watu kama hili.. Mungu nae hataacha kua upande wako!!
0 comments:
Post a Comment