Kikosi bora cha mwaka cha ligi kuu ya Uingereza.
Ligi kuu ya Uingereza imefikia katika hatua za lala salama huku bingwa akiwa bado hajapatikana.
Usiku wa Jumapili kulikuwa na hafla ya kugawa tuzo za wachezaji bora
wa mwaka wa ligi kuu ya Uingereza ikiwa ni masaa machache baada ya
Chelsea kutia doa matumaini ya Liverpool ya kutwaa ubingwa kufuatia
kuwafunga majogoo hao wa Anfield goli 2-0.
Nyota wengi walikuwa katika king’anyanyiro hicho huku kabla ya kugawa
tuzo kwa wachezaji bora kilitajwa kikosi bora cha mwaka cha EPL.
Kifuatacho ni kikosi bora cha mwaka cha ligi kuu ya Uingereza kikiwa na wachezaji 11 katika mfumo wa 4-4-2:
Kikosi bora cha EPL: | |||
# | Mchezaji | Timu | |
1 | Petr Cech | Chelsea | |
2 | Seamus Coleman | Everton | |
3 | Luke Shaw | Southampton | |
4 | Vincent Kompany | Manchester City | |
5 | Gary Cahill | Chelsea | |
6 | Steven Gerrard | Liverpool | |
7 | Adam Lallana | Southampton | |
8 | Yaya Toure | Manchester City | |
9 | Daniel Sturridge | Liverpool | |
10 | Luis Suarez | Liverpool | |
11 | Eden Hazard | Chelsea |
0 comments:
Post a Comment