Picha: Karrueche, Mama yake, Bow Wow, Tank wahudhuria kesi ya Chris Brown
Weekend hii kesi ya Chris Brown ilisikilizwa kwenye mahakama ya Washington
DC. Pamoja na kuwa katika wakati mgumu, huenda Breezy alipata tabasamu
usoni mwake baada ya kuwaona watu muhimu katika maisha yake wakiwemo mama
yake mzazi, mpenzi wake Karrueche Tran pamoja na marafiki zake Bow Wow na
Tank.
Joyce Hawkins
Tank
Bow Wow
Karrueche Tran
0 comments:
Post a Comment