HAYA KWELI NI MAJANGAA...!!! CHEKI VIDEO HAPA YA VIUNO VYA SNURA NDANI YA PARIS CLUB - LINDI
Msanii wa
Muziki wa Kizazi Kipya pia ni Muigizazi wa Filam Hapa Bongo Snura Mushi
mamaa wa Majanga Hit maker wa Nimevurugwa Jana Katika Mkesha wa Pasaka
aliweza kuwapa Burudani wakazi wa Manispaa ya Lindi.
Snura
akiwa na Crew yake waliweza kuwapatia burudani wapenzi wa muziki huo
katika Kiota cha Burudani PARIS CLUB kwa kufanya show yanguvu...Hii
ikiwa ni Maraya Pili kwa mwanadada huyo Kufanya show ndani ya Mjengo
huo.
Unaweza Kutazama Video hapa Kuona Majanga Live ya Snura::
0 comments:
Post a Comment