HATARI SANA..AGNESS MASOGANGE AWAPA MAKAVU LIVE KINA MASOGANGE FEKI
Mrembo Agness amefunguka kwa mara nyingine tena na kulalamikia wadau wanaofungua account fake kwenye social networks na kutapeli watu kwa kutumia jina lake. Mrembo huyo amepost picha na ujumbe huo hapa juu kupitia Instagram yake:
Duh ! Kweli watu wanapenda Miteremko .....hizo accounts zote ni Fake kwa jina la Masogange....mmhhh
0 comments:
Post a Comment