Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo MUSIC. Onyesha machapisho yote
Sikiliza wimbo huu kutoka kwa Mkubwa na Wanae waliomuimbia Mzee Gurumo
Sikiliza hapa wimbo kutoka kwa Mkubwa na Wanae maalum kwa ajili Marehemu Mahalim Muhidin Gurumo:...
EXCLUSIVE : DOWNLOAD NA SIKILIZA WIMBO MPYA WA LINEX FT OMMY DIMPOZ - INGO
Akielezea maana ya Ingo, Linex amesema “Ni Kiha na maana yake ni
Njoo, but ni neno linalotumika kwa makabila mengi East Africa kama
Rwanda, Burundi na UG”.
Katika wimbo huo Linex amesema yeye na Ommy wamegawana verse moja
moja, huku chorus akisimama mwenyewe na vionjo vya sauti tamu ya Recho
vimepita kwa mbali.
Kuhusu mipango ya video ya wimbo huo Sunday Mjeda aka V.O.A amesema
tayari amesaini mkataba na Samaki Samaki...
Drake ajibu diss ya Jay Z 'Mrs Dreezy' kwenye wimbo wake mpya Draft Day, Usikilize hapa
Hivi karibuni mashabiki wa Drake na Jay Z walipata mshituko
baada ya Jay Z kumdis Drake kwa kumuita Mrs. Dreezy kwenye wimbo
alioshirikishwa na Jay Electrica ‘We Made It’.
Mshituko ulitokana na jinsi ambavyo wawili hao walikuwa karibu. Diss
ya Jay Z kwa Drake ilitokana na comments zilizodaiwa kutolewa na Drake
kwenye jarida la Rollingstone kuwa hawezi kwenda bars nne bila kuimba...
BLOG MARAFIKI
WATEMBELEAJI
661212
0 comments:
Post a Comment