TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI
Home » » Quuen bongo videos

Quuen bongo videos

HAWA NDO VIDEO QUEEN BONGO NZIMA INAWAZIMIA

http://www.baabkubwamagazine.com/wp-content/uploads/2014/04/Issue-80-cover2-650x336.jpg
Vixens are meant to be foxes, bad tempered women or beautiful women,Tanzania imebarikiwa kuwa na watoto wazuri, they are pretty, sexy na wenye mvuto mno kitu kinachowafanya artist wetu kwenye music video zao kuwa na bahati ya kufanya vizuri day to day katika Vichupa vyao hapa Tzee because we have vifaa vya nguvu.
Now days kuwa video queen imekuwa ni kazi kama kazi zingine so video vixen wanafaa kuheshimiwa na kulipwa kipato kizuri coz wanafanya kazi nzuri na siyo kuuza sura tu.
Here are a list of some hottest and most popular who have done top videos with the top artists.
HAMISA MOBETO HAMISA MOBETO
This is a top rated video vixen who has done everything from modelling to acting. Top ten Miss University Africa 2012 Hamisa Hassan Mobeto,
pia aliwahi kushiriki Miss Dar Indian Ocean na kushika nafasi ya pili 2011, the same year she was top three Miss Kinondoni na kuingia kushiriki fainali za Miss Tanzania na kufika kumi bora.
Uzuri wake umempa deal ndani na nje ya Bongo kupitia fashion show na amefanya kazi na almost all designers wa Tzee pia ameshafanya fashion
show Nigeria, Kenya na Ethiopia.Though she dealing with fashion things but another side Hamisa ni mmoja kati ya ma-models wanaofanya vichupa vingi za mastar
ku-shine kutokana na mvuto wake.
Umeshiriki kama malkiawa video ngapi? Actually nimefanya video na Diamond Platnumz “Mawazo” japokuwa nilionekana kama sekunde kadhaa za mwishoni,Barnaba “Magube Gube”,
Abdu Kiba “Hatuna Habari Nao” na QuickRocka “My Baby”
.
Kati ya Fashion na Videoqueen wapi kunalipa? Fashion na video wanalipa vizuri lakini kwenye muvi wanalipa vizuri zaidi.
Kwa hivi sasa msanii wa kibongoajiandae kiasi gani kukulipa?Kuanzia milioni tatu hadi nne.
How about mafanikio katika Video? Nimepata kufahamika sana na kupata pesa ya kutatua shida zangu na kufanya mambo mengine kuninyookea day to day.
Malengo yako ya baadae ni yapi? Ni kufanya video na wasanii wa West Africa ikiwezekana hadi Hollywood kama mwenyezi Mungu akinijalia.
IRENE IRENE
She is our star girl and has done two videos only,ana miaka 19 na jina lake ni Irene Steven Baruti aka Queen Liney coz she always believe on herself thatshe is cute tena mwenye mvuto mkubwa mbele ya macho ya watu. On 2012 akiwa kidato cha tatu ndipo alijiingiza rasmi on vixing the videos baada ya kushiriki kwenye audition iliyoandaliwa na Adam Juma wa Next Level special for getting models ambao atakuwa akiwatumia kwenye videos zake at last akapita na kuonekana for the first tym kwenye kichupa.
Video yako ya kwanza ulipata dau gani?
My first video ya Rich Mavoko “One Time” nilipata zaidi ya laki nne, baadae nikafanya video ya Mirror “Baby” but right now I can’t
do it for less than laki nane za kibongo.
Kwa nini unafanya Video chache kwa mwaka?
Sipendi kufanya video nyingi thats why kwa mwaka nafanya video moja which is so hot coz siuzi sura this is business n’ I have to do it in a
serious way.
Mbali na Video kazi gani ingine unaipenda?
Acting ni kitu ninachokipenda sana and if God wishes nitaanza kuonekana huko pia coz I think it pays more than video queen for me.
How about challenge za kitaani?
Nilishatangaziwa kuwa na HIV, natongozwa sana plus kuchukiwa na ladies kuliko wanaume pasipo sababu but Mungu yupo pamoja na mimi.
Malengo yako ya baadae yakoje?
I wish one day to be an accountantand I will. But for all video queens we have to set up some goals for specific tym na sio kupelekwa pelekwa. Maslahi mbele,
kuuza sura baadae.
TUNDA TUNDA
She’s beautiful, chic and sophisticated model from Kilimanjaro goes by the name of Tunda alias Anna Patrick Kimaro. Tunda ni moja kati ya Video Vixen who has temptation mbele ya Runinga akiwa na Eighteen age,na amefanya vichupa kibao vya Mastar wa Kibongo.
Kitu gani kilichokuvutia hadi ukawa Video Queen?
That was my dream tangu nilivyokuwa xul o’level nilikuwa natamani sana kufanya haya mambo ili nimake title na mkwanja.
Video yako ya kwanza ni ipi?
‘Sina Makosa’ ya Timbulo na ndipo milango mingine ikaanza kufunguka kwa wasanii wengine kufanya nao kazi.
Hadi sasa umeshakuwa queen katika Video za wasanii wangapi?
Actually ni Amini na Barnaba ‘Why Mimi’, Matonya ‘Aqwelina’,Tanzanite feat. Dully Sykies ‘Ndombolo ya Solo’, G Van ‘Nataya’, pamoja na ‘Sina Makosa’ ya Timbulo.
ZUHURA
ZUHURA
Zuhura Gora aka Zuu Kamili Gado pretty face has brought knock-out effect kwenye many video alizozifanya, she is 21years aliyezaliwa Dar na kukulia Dom known as one
of the hottest chick anaye-shine daily katika vichupa vya mastar hapa Bongo.
Baada ya kufanya poa katika video ya Kamili Gado ilimpa chance ya kushiriki Miss Mtwara 2012 na kushika namba moja. But right now anafanya kazi ya u-model katika kampuni ya ‘Kidoti’.
Kitu gani kilichokuvutia hadi ukawa Video Vixen?
Honestly sikuwa na mawazo ya one day kuwa video queencoz nilikuwa na-focus katika u-model, so after my friends kuniambia naweza nikajaribu na ikawa wonders.
The first Video kuifanya ni ipi?
Ilikuwa ‘Kamili Gado’ ya Prof. Jay pia ni msanii aliyenitia moyo sana.
Hadi sasa umeshakuwa Queen katika Video za wasanii wangapi?
Kama video sita, Ali Kiba ‘Single Boy’, Tip Top Connection, Izzo Business ‘Nakuchukia Mwaka Jana’, Hemed PHD ‘Going Crazy’ Prof. Jay ‘ Kamili Gado’ na Lady Jaydee ‘Historia’.
Mafanikio mangapi umeyafikia tangu ulipoanza kuwa Video Queen?
Of course kuwa video vixen ilinifanya nikashiriki miss Mtwara na kupitia u-miss nikipata kuwa balozi sehemu nyingi ila kwa sasa nafanya kazi na Jokate Mwegelo.
Malengo yako ya baadae ni yapi?
Ni kuwa model wa kimataifa pamoja na kuwa mjasiliamali mkubwa tu.
MAGDALENA MAGDALENA
Sexy video vixen na mshindi wa top model Redd’s Miss Tanzania 2012 Magdalena Roy aka Maggie ni Video Vixen aliyefanya poa katika vichupa vya big wasanii hapa Tzee.
But Umeshafanya Video ngapi hadi sasa?
Real nimeshafanya Video tatu kama Pah One ‘You’, John Makini ‘Bye Bye’ na Suma Lee ‘Utanikumbuka’.
Video ya msanii gani ilikupa big famous in town?
Ni video ya SumaLee ‘Utanikumbuka
SABRINA SABRINA
No doubt kwa Sabrina Abdul aka Cute Brina ambaye ni Miss Reds namba mbili Mkoa wa Mbeya 2012, now days anasababisha video nyingi hapa town ku-shine kwa muonekano wake ndani ya vichupa kama Jan Bobic feat. Dully Sykies ‘Sijamuona Mwingine’, ‘Rest Of My Life’ ya Hemed PHD, Nur Mziwanda ‘Otea Nani’ pamoja na Video mpya ya TID itakayotoka soon.
Vitu gani vilivyokushawishi ukapenda kuwa mmoja waVideo Queen?
Nilkuwa napenda sana kuwaNvideo vixen so the first time ilipotokea chance ya kufanya nikaona hiyo ni bahati kwangu nikafanya.

Msanii gani unatamani utokee katika video yake day moja?
Ni Tunda Man coz I believe nitakuwa comfortable katika video yake.
Changamoto zipi zinazokukabili kitaani?

WARDA
Of course she is cute and ana miaka 20, ana skul katika chuo cha Uandishiwa Habari DSJ and she wish one day to become the best female presenter ever, Warda Kikoth aka Baby Wa alikuwa video vixen accidentaly baada ya girl aliyetakiwa ku-shoot kichupa cha Bi Cheka ‘Ni Wewe’ kutotokea location ndipo alipoitwa Warda akatokea na kusababisha mambo makubwa,from there many doors zika-open.
Hadi sasa umeshakuwa malkia wa Video ngapi?
Pasha ‘Amekuwa’, Sharo Milionea ‘Chuki Bure’, Nay Wa Mitego ‘Mwanamke Hapigwi’, PNC ‘Imebuma’, Bi Cheka ‘Ni Wewe’ e.t.c.
Gharama ipoje kwako kufanya single video?
Is not less than laki mbili kwa kila kichupa nitakachoappear.
Dream zako ni kufanya kazi na star gani?>
Ni kufanya Bonge la video with Ali Kiba though there a many artist I want to work with them.
Vipi kuhusiana na mafanikio uliyoyapata kutokana na kuwa video vixen?
Wananilipa mkwanja for shopping of my cloths,matumizi yangu madogo madogo na kula bata with guys.
PENINA
PENINA
Bootylicious Penina Benard alias Pink Penny Lover ni moja kati ya Video Queen mwenye bum bum like a Agness Masogange ingawa wamepishana kidogo, chick Penny alianza kufanya first video yaJuta B Feat. Dullayo ‘Nimepata Mrembo’, 2009, but right now anasomea Uandishi wa Habari katika chuo cha DSJ ngazi ya cheti.
Hadi sasa umeshafanya video ngapi?
Ni zaidi ya video saba kama vile Dullayo ‘Fungua Macho’, Bonge La Nyau Feat. Bob ‘Walaghai’, Mabeste ‘Dole’, Bobic Feat. Maua ‘My Everything’, Yincas ‘Sartuday’ na
nilishiriki katika wimbo wa Young Killer ‘Dear Gambe’.
Kitu gani kilikushawishi hadi ukajikita kwenye Video nasi sehemu ingine?
Coz nilijiamini mimi ni mrembo na nina uwezo wa kufanya kitu kwenye video ya msanii yoyote na ikawa poa zaidi.
Video zipi zilikutambulisha zaidi kwa fans wako?
Ni video ya Bonge La Nyau na Mabeste.
Unaji-compare vipi na video vixen wa Kenya na Uganda?
My self nipo juu coz najiamini ninapokuwa mbele ya camera nafanya kitu kwa uwezo wangu wote, pia ma-video queen wa Kibongo tuna mvuto.
Vipi kuhusiana na mafanikio yako katika Video?
Yapo coz zamani nilikuwa naomba kila kitu kwa wazazi lakini kwa sasa najigharamikia mimi mwenyewe.

Malengo yako ya baadae ni yapi?
Ni kuendelea kufanya poa zaidi katika level za kimataifa.
SOPHY SOPHY
Video ya wimbo wa Shetta ‘Mdananda’ ndiyo iliyomtambulisha Sophia Lugendo aka Pretty Sophylious kwenye list ya Malkiawa video Bongo. Appearance yake kwenyevideoilimfanya azidi kupata deal za video kibao kama kama ile ya Becka Title ‘Inaniuma’, Dogo Janja Feat. PNC ‘Ya Moyoni’, M Rap Feat. Makamua ‘Tuna Maintain’, Young Killer Feat. Belle 9 ‘Dear Gambe’, but right now yupo chuo cha Ustawi Wa Jamii mwaka wa kwanza anasomea shahada ya ‘Social Welfare’.
Kipi kilikushawishi ukawa videovixen?
First of all ni baadhi ya wasanii wenyewe walikuwa wananifuta na kuniambia ninafaa kuwa video queen, so nikaona this is an opportunity kwangu.
Video gani ilikutambulisha sana kwafans wako?
Actually ni video ya Young Killer ‘Dear Gambe’.
Unazungumziaje mafanikio yako kutokana na Video?
Si makubwa sana but kwa kiasi fulani nimeweza kusaidia my family kutokana na kile nilichopata.
SABRINA JUMA
SABRINA JUMA
Sabrina Juma alias Brina Batchan with only 19 years old tayari ameshafanya video zaidi ya kumi lyk ‘Nidanganye’ ya Sheta which was her first video, ‘Nishai’ ya Chibwa, ‘Muziki Gani’ ya Nay, ‘Walaghai’ ya Bonge la Nyau, ‘Agwelina’ ya Matonya and others. She is also Miss Tabora No. 2, Miss Kanda ya Kati No. 2 and Miss Tzee No. 6 of 2013. For her alipenda music since her childhood especially akitumia kiuno chake
sana on dancing. Mafanikio yako yapoje tangu ulivyoanza kuwa malkia wa video? Of course nina own beauty saloon na kuweza kujikimu katika mambo
madogo madogo.
Unaelezeaje changamoto zako?
Mmmh! mimi nadhani hakuna kazi isiyo na challenges but for me zipo nyingi like kutongozwa sana but nakomaa nao kiukweli.”
Unaiona wapi kazi yako ya video queen?
Naiona mbali sana coz wenzetu Ulaya hii ni kazi wanafanya na kupata mafanikio makubwa, sisi huku tunaifanya kwa kuuza sura ku-change jamani!.
Share this video :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Creating Website | WILLE Template | GOOGLE
Copyright © 2013. Dj Wille Zedon - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger