skip to main |
skip to sidebar
Posted by Dj wille zedon
Posted on 06:30
with No comments
ALLY KIBA NA BARNABA NIKIWAFANANISHA NA DIAMOND...
Mwenzenu nikiangalia uwezo hasa sauti za
hao waimbaji watatu mbona naona diamond haingii hata kidogo. cha
kushangaza nyimbo za domo nazikubali ila nikikaa nikatulia na
kulinganisha naona mmh!! hataa! .hivi ni kwa nini hawa hawafiki mbali
kama domo? Ukizingatia kwa kuangalia sauti zao wanauwezo mkubwa sana wa
kuperform kwa kutumia band kama wanavofanya p square na wasanii wengine
wa mbele. Haya ni mawazo yangu binafsi sijui wenzangu mnasemaje.?
0 comments:
Post a Comment